Download - 05.d - Charlie Pele
leo ni siku yasoko! naenda
kuuza kuku zote, nibuy chuja mpya na hizo
dooh!
hata hizo stori zanewcastle disease
hazinitishi, juu mzee sangoma ametibu
kuku zangu!
25
kijana wangu, ngoja utamea beak ya kuku!
wakati huo kwa nyumba ya akina charlie...
nimesikia kukuzote za jirani
mwinginezimekufa.
hiyo ni urogiya kabila yao!
na urogi umefika
kwangu!?!?
tumeishaaa!!!
charlie!
nenda ukachungekuku na uone kamazimepata maradhina usitoke hapa
hadi nirudi. sawa!!
nimeendakuchukuasangoma!
...AKI..
26
eeecharlie!
umesikia vilemakuku
yamekufa?
na zetubado!
uncle yangu ni vet naanakuja kwa centerku-vaccinate kuku.
kwa nini?
si ndio zisipate
newcastle disease inayo ua
kuku kama za neighbor
wenu.
letazenyu.
wee! staki shidana fathe.
atanizushia.sikujua kuwa
wewe nimwoga hivo!
sawa!twende saa hi!
mbona chicks zako ni za pink?
oh, nilizipaka ili zisichukuliwe na
mwewe!
sawa, mimihuweka chicks
zangu safekwa basket
cage.
itabidituzibebendani yanguo...
oe!twendenimtibiwe!
27
hahahahaaa!
kwanza,hakikisha kuwakuku imetuliawakati una-vaccinate.
uza kuku moja na utapatapesa za kununua vaccineya ku-vaccinate kuku 100
kwa mwaka mzima.
hakuna sababu ya kukosaku-vaccinate juu utajiokoa
hasara yakuku zote kufa kutokana na newcastle disease.
haha!!!
umefanyavizuri!
nimezileta!
uncle!
hebutuharakishe!
ni mbali!
ai!
28
Ili kuweka vaccine aina ya
drop, shika kuku vizuri na
uinamishe kidogo. then
weka 2 drops za vaccine
kwa kila jicho au maskio.
asante!!! uuuwi! ndio haowanaingia hao saa hii!
tuhepe na nyuma...
kwa vaccine ya sindano, shika kuku vizuri mabawa
yake yakiwa karibu na mwili wake halafu udunge vaccine
kwa breast section au kwa thigh.
29
Umewahi notice kuwa kuku wengi hufa kwa specific months kwa mwaka? Hii sio sababu zimerogwa lakini ni juu kuku zime-infect-iwanaNewcastledisease.SymptomszaNewcastlediseaseniKukosa appetite, production ya mayai ina-drop, kuhara green, uvimbe wa maji kwa kichwa na ku-lose weight
Ili ku-control Newcastle disease i-spread, ni muhimu:a) Weka kando kuku zilizo- infectedb) Ua zile infectedc) Kuosha pahali kuku infected zilikuwa zinaishi na kui-disinfectd) Vaccinatione) Hakikisha levels za usafi pale kuku zinaishi
Kuna aina mbili za vaccination against Newcastle diseasea) Ya sindano - ITA: Kuku anakuwa protected kwa mwaka mzima. Ku-vaccinatekukumojaitaku-costabout4/-Niaffordable
b) Ya kuweka drops - AVI: Kuku anakuwa protected for 6 months
kwa hivyo inafanywa mara mbili kwa mwaka
Njia ya ku-vaccinate kuku1. Shika kuku yako firm na uhakikishe kuwa imetulia2. KWA Injection: Dunga kuku yako katikati ya breast section3. Kama ni vaccination ya drops, weka drops mbili kwa macho au
maskio
Hizi vaccines hutegenezwa na watu ku-train-iwa jinsi ya ku-vaccinate kuku. . Wengine wamejianzia business ya ku-vaccinate kuku na kutengeneza dooh. Training ni free of charge na unaweza kuwa trained kuwa vaccinator.
Ili kujua mengi juu ya ku-train-iwa kuwa vaccinator, tuma SMS on 3008 ilio na aina ya vaccine unayotaka halafu #constituency [kwa mfano: ITA#Kisumu Town West] kisha utume on 3008 na utapata immediate response ya nearest agent.
Vaccinate kuku zako
alililililiiiiiii!
basi.mumeona?
sangomaoyee!
nilijuaungesaidia!
fathe anafanyasame mistake na neighbour kwa
kuleta sangoma!
kama kuku zenyuzitasurvive, nadhaniitakuwa juu ya uncle wangu, na si sangoma
vaccinationkweli ina-work!
snif!
na vaccinationyangu iko?
wacha nitextieboyie ujumbe
huu mpya!
30